Thursday, July 22, 2021

Muundo wa wasifu Binafsi( Curriculum Vitae)


MUUNDO WA WASIFU BINAFSI


TAARIFA BINAFSI

Jina:   

Tarehe ya kuzaliwa: 

Jinsia: 

Hali ya ndoa:

Uraia:  

Namba ya simu

Lugha:  

Barua pepe: 

MAELEZO BINAFSI

 Ninaweza kufanya kazi kwa baidii na kwa wakati kwani ninaelewa lugha kwa haraka, hivyo nitafanya kazi kwa  haraka na ubora chini ya usimamizi mdogo.

HISTORIA YA ELIMU

MWAKA

KIWANGO CHA ELIMU/ CHETI

2018-2021

Shahada ya Ualimu

2016-2018

Cheti cha sekondari kidato cha 5 na 6,

2011-2015

Cheti cha sekondari kidato cha I-IV,

2005-2011

Cheti cha shule ya msingi darasa I-VII

 

MAARIFA BINAFSI

·         Uwezo wa kufanya tafsiri na ukalimani

·         Uwezo wa kutumia lugha mbalimbali

·         Uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja

UZOEFU WA KAZI

 Nimewahi kufanya ukalimani katika mikutano mbalimbali ya kidini na makongamano katika Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) mkoani Dodoma.


VIPENDELEO NA VIPAWA

·         Napenda kusoma vitabu mbalimbali vya fasihi kama vile, riwaya, tamthiliya na hadithi fupi

·         Napenda kuimba

·         Napenda michezo mbalimbali kama vile, mpira wa miguu, rede na kuruka kamba

SHAHIDI

  Ni muhimu kuweka anuani zaidi ya mbili za mashahidi/ wadhamini wako kwa kufuata mtiririko maalum.

           


UTHIBITISHO

  

No comments:

Featured Post

 SOMA SIMULIZI ZENYE KUSISIMUA HAPA A. UTAJIRI WENYE UCHUNGU     UTAJIRI WENYE UCHUNGU-1     UTAJIRI WENYE UCHUNGU-2      UTAJIRI WENYE UCH...