SWALI: Chagua mada moja kisha kwa kuzingatia vipengele vyote vya andalio la somo, andaa andalio la somo litakalo tumika kufundishia vipindi viwili.
ANDALIO LA SOMO
Somo: ............................. Jina la Mwalimu: ..................................
Tarehe |
Darasa |
Kipindi |
Muda |
Idadi ya wanafunzi |
||||||||
|
Waliosajiliwa |
Waliopo |
Wasiokuwepo |
|||||||||
|
ME |
KE |
Jumla |
ME |
KE |
Jumla |
ME |
KE |
Jumla |
|||
|
Mada Kuu:
Mada Ndogo:
Lengo kuu:
Ujuzi :
Malengo Mahususi:
b
Zana/ Vifaa vya
kufundishia:
Marejeleo:
HATUA ZA UFUNDISHAJI
HATUA |
MUDA |
KAZI
YA MWALIMU |
KAZI
YA MWANAFUNZI |
UPIMAJI |
UTANGULIZI |
DK 5 |
Kuwaongoza wanafunzi kujikumbusha kuhusu
kipindi kilichopita kwa njia ya maswali na majibu. |
|
. |
MAARIFA MAPYA |
Dk 35 |
Kuwaongoza wanafunzi kujadili aina za fasihi
na utofauti baina ya fasihi simulizi na andishi. |
|
. |
KUIMARISHA MAARIFA |
Dk 25 |
Mwalimu kutumia chati mbalimbali za fasihi na kueleza kwa undani
aina za fasihi. |
|
|
TAFAKURI |
DK 10 |
Kuwapa wanafunzi maswali ya kufanya
kulingana na kile kilichofundishwa. |
|
|
HITIMISHO |
DK 05 |
Mwanafunzi
kueleza kwa ufupi kuhusiana na kipindi kisha kutoa zoezi kuhusiana na kipindi
walichojifunza. |
|
|
Tathmini
ya Mwalimu:
Maoni:
No comments:
Post a Comment