Angalia orodha ya blog na website zitakazokusaidia kuandaa notsi (notes ) za kufundishia
Mwalimu hatoweza kuwa katika mtiririko mzuri ambao utawafanya wanafunzi wamuelewe kama haandai notisi, hivyo uandaaaji wa notisi unabeba asilimia kubwa katika ufaulu wa mwanafunzi.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamefanya watu waweze kuchangamkia fursa katika ulimwengu wa kidigitali ambapo kwamba waandishi wa vitabu na makala mbalimbali wamebadili mfumo wa uandaaji wa vitabu na makala mbalimbali kutoka nakala ngumu yaani (hard copy) hadi kwenye nakala tepe (soft copy) lengo kubwa ni kuwawezesha waalimu na watu kutoka taaluma nyinginezo kufaidika kutokana na mabadiliko hayo ya sayansi na teknolojia.
Leo nimekuletea baadhi ya website na blog zitakazokusaidia wewe mwalimu kuandaa masomo kwa wanafunzi wako , miongoni mwazo ni,
- THL Hii ni website ambayo imekusanya notisi za madarasa yote kuanzia shule ya msingi , sekondari na elimu ya juu ya sekondari. Unaweza kudownloada kwenye kompyuta kwa kubonyeza hapa.
No comments:
Post a Comment