Mambo ya kuzingatia kabla ya kupakua (download)
1. Hakikisha Pc au kompyuta yako ina nafasi ya kutosha
2. Pakua qgis kuendana na Bit ya kompyuta yako Kuna 32-bit na 64-bit
3. Pakua toleo jipya (new version) itakuwa Bora zaidi kwa ufanisi was kazi zako
4. Pakua qgis Kupitia kiunganishi 👇👇👇
Mambo yakuzingatia baada ya kupakua
1. Hakikisha unawasha data, kwa sababu utakuwa ukitumia online map service
2. Download visaidizi katika app hiyo kwa kuzipakua kweye plugin.
Asante sana kwa muda wako kusoma katika blog hi, karibu tena
No comments:
Post a Comment